Katibu Mkuu wa Soko la Buguruni,Furahisha Kambi akizungumza na Globu ya jamii kuhusu kuanza kwa ukarabati wa miudombinu ya soko hilo la Buguruni na kuipongeza Manispaa ya Ilala,kwa kuchukua hatua hiyo kwa ajili ya kuwajali wafanyabishara wake ambao pia ni sehemu ya walipa kodi wakubwa katika wilaya hiyo
Katibu Mkuu wa Soko la Buguruni,Furahisha Kambi akionesha baadhi ya nguzo zilizo wekwa kwa ajili ya ukarabati wa soko hilo,jana jijini Dar es Saalaam.
Mafundi wakiendelea nakazi katika soko la Buguruni jijini Dar es Saalaam.
Muonekano wa soko jinsi litakavyo kuwa badaa ya ukarabati huo.picha na Emmanuel Massaka, Globu ya Jamii
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...