shehe wa mkoa wa dar sheikh khamis geruko (tatu kulia) akiongoza kuomba dua wakati wa futari iliyoandaliwa na easy finance leo kinondoni dar

mabosi wa easy finance ambao ni moja wa wafadhili wakuu wa globu hii ya jamii wakichanganyika na wageni wao katika kupakua futari leo
mpiganaji paschal mayalla (tatu shoto) na wadau wengine walioalikwa kwenye futari ya easy finance leo. wengine toka shoto ni wakili mashuhuri alex mgongolwa, mdau, paschall mwenyewe, haki ngowi na mkuu wa wilaya ya nanihino na balozi wa zain
viongozi wa easy finance na mashekhe wa dar katika picha ya pamoja na baadhi ya watoto yatima walioandaliwa futari leo
shehe wa mkoa wa dar akitoa nasaha zake baada ya futari. aliisifu easy finance kwa kuwakumbuka yatima katika mwezi huu mtukufu na kuwaombea wazidi kufanya hivyo siku za usoni
bosi wa easy finance isaac kasanga akitoa shukrani kwa wageni waalikwa waliojiunga kufuturu na watoto yatima leo kwenye ofisi za taasisi hiyo ya fedha dar
baadhi ya watoto yatima waliotayarishiwa futari na easy finance leo
baadhi ya wageni walioalikwa futari easy finance
wadau wa easy finance wakifurahi baada ya kufanikisha hafla ya futari leo




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Heshima kwako Kaka.
    Nimekuwa nikichukua picha na zinatoka na "uweusi" kama huu hasa ninapopiga subject ambayo imetawaliwa na weupe. Na naona kwenye picha zako za leo ni yaleyale (maana kunamoja kama usingetabasamu sijui kama tungekuona. Just joking). Sasa swali ni kuwa ni vipi naweza kuepukana na hii hali kama yaepukika ama ni tactic gani unayozweza kutumia kuepusha weusi wa namna hii?
    Ni libeneke la darasa kiaina.
    Blessings Brother

    ReplyDelete
  2. mbona hatuwaoni akina lipumba, maalim sefu na waislamu wengine wa vyama vya upinzani kwenye futari hizi? uislamu hauruhusu kufuturu na wapinzani?

    ReplyDelete
  3. wewe anon sept 30, 2008 11:01 am

    hivi wewe ni mfuatiliaji mzuri wa hii blog?

    Muombe Michuzi akupe kumbukumbu ya picha za mwaka ramadhan mwaka jana.
    Wengine comment zenu kama vile mmeamka tu toka usingizini.

    ReplyDelete
  4. GONZAGA + ISAAC KASSANGA = ATAPONA MTU APO ETI EASY FINANCE TEH TEH TEH

    ReplyDelete
  5. MDAU HAPO JUU UMESEMA, NGOJA GONZAGA ATOA SADAKA YAKE MAANA NDIO HIVYO TENA??????????? NI MILIONEA LAKINI NDIO HIVYO TENA MUOGOPE KWANI-------,

    ReplyDelete
  6. Annon 12:08am na Annon 10:02pm..... Nawaomba mfanunue postings zenu kwa niaba ya wana-globu hii ya jamii. Nasubiri ufafanuzi wenu kwa hamu!

    ReplyDelete
  7. Ufafanuzi wa kazi gani kwako?

    ReplyDelete
  8. mchuzi kubana watu tutatoa ufafanuzi....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...