Mheshimiwa Ummy Ally Mwalimu (Mb.) Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto akipokea maandamano ya wadau mbalimbali wa Maendeleo ya Mtoto katika viwanja vya ofisi za Hazina Dodoma wakati wa maadhimisho ya Siku ya kupinga ukeketaji kwa wanawake na watoto wa kike.wanawake na watoto wa kike. |
Mheshimiwa Ummy Ally Mwalimu (Mb.) Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto akihutubia wadau mbalimbali wa Maendeleo ya Mtoto, wakati wa maadhimisho ya Siku ya kupinga ukeketaji kwa wanawake na watoto wa kike.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...