Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akipanda mti katika uzinduzi wa zoezi la upandaji miti Kitaifa, katika eneo la barabara ya Jendele/Unguja Ukuu.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza katika uzinduzi wa zoezi la upandaji miti Kitaifa, katika eneo la barabara ya Jendele/Unguja Ukuu.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiongozana na Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo na Maliasili, Affan Othman Maalim (kushoto) katika uzinduzi wa zoezi la upandaji miti Kitaifa, barabara ya Jendele/Unguja Ukuu.
Baadhi ya wananchi wakishuhudia uzinduzi wa zoezi la upandaji miti Kitaifa, katika eneo la barabara ya Jendele/Unguja Ukuu ambapo mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad. (Picha na Salmin Said, OMKR)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Naona Maalim amekataa mambo ya kuwekewa kapeti wakati wa shughuli inayohusu mazingira maana lazima kuyapenda mazingira na siyo kuyaogopa.

    Mdau
    Mazingira ni Uhai wa dunia

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...