Mhe. Dkt. Augustine Mahiga, MB, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki amekamilisha ziara yake nchini Marekani, alipokuwa kwa Mwaliko wa Mhe. Rex Wayne Tillerson, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Washington, D.C. tarehe 17 Novemba, 2017.
Mhe. Dkt. Augustine Mahiga, MB, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki katika picha na mwenyeji wake Mhe. Rex Wayne Tillerson, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani.
Mhe. Dkt. Augustine Mahiga, MB, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akiwa na mwenyeji wake Mhe. Rex Wayne Tillerson, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, pamoja nao ni Mhe. Balozi Wilson M. Masilingi, Balozi wa Tanzania, nchini Marekani na Mexico
Mhe. Dkt. Augustine Mahiga, MB, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki katika picha ya pamoja na Mhe. Balozi Wilson M. Masilingi na watumishi wengine wa Ubalozi wa Tanzania, Washington, D.C., Marekani alipotembelea Ubalozi wetu Washington, D.C. Marekani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...