Mkuu
wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo akizungumza wakati akifungua Semina ya
Bodi ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, iliyoandaliwa na Jumuiya ya Umoja wa
Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Nchini (TSSA), iliyofanyika kwenye Ukumbi wa
Mikutano wa Hoteli ya Gold Crest, Jijini Arusha leo Mei 19, 2017.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo akizungumza wakati akifungua Semina ya Bodi ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii,
iliyoandaliwa na Jumuiya ya Umoja wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Nchini
(TSSA), iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Gold Crest,
Jijini Arusha leo Mei 19, 2017.
Makamu
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Nchini
(TSSA), akizungumza kabla ya kumkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho
Gambo kufungua semina hiyo, itakayowajengea uwezo Wajumbe wa Bodi ya
Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, kuhusu sekta ya Viwanda kuwa kama fursa ya
Uwekezaji, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Gold
Crest,
Jijini Arusha leo Mei 19, 2017.
Katibu
Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Nchini
(TSSA), Meshack Bandawe akizungumza machache wakati akitoa muongozo wa
Semina hiyo, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Gold
Crest,
Jijini Arusha leo Mei 19, 2017.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...