Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Dkt. Musafiri Papias, Waziri wa Elimu wa Rwanda na
Mjumbe maalumu wa Rais Paul Kagame alipokutana naye Ikulu jijini Dar es
salaam leo Aprili 20, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na Dkt. Musafiri Papias, Waziri wa Elimu wa Rwanda na Mjumbe maalumu wa
Rais Paul Kagame alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Aprili
20, 2017

20, 2017. Wengine ni Balozi wa Rwanda nchini Mhe. Eugene Kayihura na
Afisa Mwandamizi wa Ubalozi Bw. Issa Mugabutsinze.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea
ujumbe maalumu kutoka kwa Rais Paul Kagame wa Rwanda uliowasilishwa
kwake na kt. Musafiri Papias, Waziri wa Elimu wa Rwanda alipokutana
naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Aprili 20, 2017
PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...