Mwana muziki wa muziki wa kizazi kipya Bongo Freva maarufu kwa jina la Barnaba akifanya makamuzi ya nguvu kwa stage huku mashabiki wa muziki wake wakimpokea kwa kushangilia jinsi anavyoenda nao sawa katika sherehe ya kukaribisha awamu nyingine katika nyanja mbalimbali kwa wanafunzi wa chuo cha Uhasibu jijini Mbeya..PICHA ZOTE NA MR,PENGO MICHUZI MEDIA.
Baadhi ya wanafunzi na wapenda burudani wa jiji la Mbeya wakishangweka na muziki mzuri kutoka kwa Barnaba boy aliyekuwa akiwapagawisha kwenye stage usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Tughimbe Jijini Mbeya.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...