SIMU.TV: Mkuu wa mkoa wa Lindi aagiza kutatuliwa kwa changamoto kadhaa zinazoikabili hospitali ya rufaa ya Sokoine mkoani Lindi. https://youtu.be/1n6iKnNlHFU
SIMU.TV: Wakazi wa kata ya Kibirizi katika manispaa ya Kigoma Ujiji waiomba serikali kumuondoa mwekezaji katika bwawa la Katosho ili kuondoa migogoro iliopo.https://youtu.be/1I6LQZvdG7k
SIMU.TV: Wananchi wa kata ya Kasamwa katika halmashauri ya Geita walalamikia usafishaji wa bwawa la Kasamwa kuwa wa kutoridhisha. https://youtu.be/PBIrkmlifbw
SIMU.TV: Waziri mkuu Kassim Majaliwa apokea michango mbalimbali kutoka kwa taasisi na makampuni binafsi kwa ajili ya kuwasaidia waathirika wa maafa ya tetemeko la ardhi.https://youtu.be/X3VX7IPEbgE
SIMU.TV: Vijana nchini watakiwa kujiunga na vyuo vya ufundi ili kuweza kunufaika na fursa za ajira zitakazotolewa na wawekezaji hapa nchini. https://youtu.be/wcJamqmiPiU
SIMU.TV: Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam atoa wito kwa wananchi na wakazi wa jiji la Dar es Salaam kujitokeza katika zoezi la kupanda miti siku ya Oktoba mosi.https://youtu.be/-MkLpg4kBms
SIMU.TV: Walaji wa bidhaa watakiwa kukataa kutumia bidhaa zenye viwango hafifu ili kuweza kufanikisha vita dhidi ya bidhaa duni nchini. https://youtu.be/ZCTSRyCnIiY
SIMU.TV: Taasisi ya REPOA yatoa utafiti wake kuhusu uratibu usiokamilika na madhara yake katika uzalishaji wa miwa nchini. https://youtu.be/CpiN9oHlHnU
SIMU.TV: Pato la taifa katika robo ya pili ya mwaka 2016 limeendelea kuongezeka kwa asilimia 7.9 ikilinganishwa na asilimia 5.8 kwa mwaka 2015. https://youtu.be/Jx-9vj3SBno
SIMU.TV: Wakala wa uingizwaji wa mafuta kwa pamoja nchini waanza utaratibu mpya wa uingizaji wa mafuta hapa nchini ili kupunguza gharama za mafuta nchini.https://youtu.be/vsirW4PLasE
SIMU.TV: Zaidi ya wasanii tisa wa vichekesho kutoka Tanzania na Kenya kesho wanatarajia kuvunja mbavu za wakazi wa jiji la Mwanza katika ukumbi wa Rock city Mall.https://youtu.be/O5ra14wu8Mo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...