Balozi Cisco Mtiror akisimamia ugawaji wa pilau baada ya kisomo cha kuwarehemu wazee wa Klabu ya Saigon mtaa wa Sikukuu jijini Dar Jumapili hii. Klabu hiyo ya michezo ni maarufu sana kwa watoto wa mjini ambapo wadau wengi mashuhuri waliitumia kwa kubadilishana mawazo na kucheza soka.
Mgeni rasmi katika Hitma hiyo, Waziri Kiongozi Mstaafu wa Zanzibar Mh. Dk. Gharib Mohamed
Mgeni rasmi katika Hitma hiyo, Waziri Kiongozi Mstaafu wa Zanzibar Mh. Dk. Gharib Mohamed
Now, is it true that top political and sports posts are won and lost at Saigon? Right or wrong - it makes me wonder...
ReplyDeletehivi mwenyekiti wa Sagoni siku hizi ni nani? mara ya mwisho alikuwa HEMED MZEE IBRAHIM maarufu kama Mzee NJEMBA bado ni yeye au ameshachaguliwa mwingine????nisaidie kaka Michuzi.
ReplyDeleteAl Musoma,
ReplyDeleteKama unavyomuona Dr.Gharib hapo, basi usishangae akapita kwa kishindo kwenye kinyang'anyiro cha urais SMZ
Kwa Anonymous wa Jul 28 4.25.00am ni kwamba bado Hemed Mzee Ibrahim aka Mzee Njemba ni Mwenyekiti wa Saigon Sports Club.
ReplyDelete