Mwenyekiti wa bodi ya DECI Mch. Jackson Mtaresi akizungumza akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa taasisi hiyo Timoth Oleleiting’ye katika mkutano wao na waandishi wa habari



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. lugha ya mwili na mkao inajieleza. tunahitaji kusema zaidi?

    ReplyDelete
  2. hii haihusiani na picha. naomba uniulizie Ipp media wana tatiz gani magazeti kila mara hayasomeki mtandaoni.

    ReplyDelete
  3. wanatisha. na ujanja na umri wangu mimi sipendi upatu. hauna mantiki unless katika kundi mpo wa3 na mpeani kiasi kikubwa cha kumfanya mtu atoke. Vinginevyo hata hao wa3 acha weka akiba kwa kiasi kile ambacho ungecheza upatu kila mwezi majibu ya hesabu yatakuwa yaleyale. wapenzi wajanja wenzangu na wenye akili tafakarini mambo kabla ya kuingia.upe moyo wako muda wa kutafakari mambo, kisha tumia akili kupambanua.deci nimesikia habari kwa mara ya kwanza tarehe 30 machi 2009. nilimjibu bwana huyo aliyenipigia simu kwamba sipendi pesa rahisi lakini nitakupa msimamo kesho, ili niupe moyo na akil muda wa kutafakari.haikupita muda mambo ndio haya.

    ReplyDelete
  4. Jambo.
    Upatu ni upatu tu. Kama mna ubavu DECI anzisheni Benki yenu, msitumie imani za dini kuwashawishi watu wapande halafu muwaambie mbegu zilioza. Wabongo tufunue macho, hakuna pesa rahisi.

    ReplyDelete
  5. NAMNA WALIVYOKAAKAA NAHISI NI WEZI WAKUBWA HAWA

    ReplyDelete
  6. Badala ya kuhubiri NENO JEMA hawa "wachungaji" wameamua kutapeli wananchi wasio na hatia kwa kutumia JINA LA BWANA.
    Ni heri wasingezaliwa na adhabu inayo wasubiri ni kali.

    ReplyDelete
  7. MSEMA KWELI.April 16, 2009

    HAMANA LOLOTE LA MAANA HAPA,WOTE HAO KWENYE PICHA NI WEZI TU WA HELA ZA WATU,WE ANGALIA TU BODY LANGUEGE,JINSI WALIVYOO KAA,MUANGALIE JAMAA MWENYE MIDEVU ALIVYOKAA KIWASI WASI KAMA ANATAKA KUJITOA ILA NDIO TAYARI YUPO KWENYE KUNDI.YULE WA MWISHO ANATAKA HATA KUJIFICHA ASIPIGWE PICHA,HAWA WEZI TU HAWANA LOLOTE.

    ReplyDelete
  8. mmmh...!!!

    ok!!

    ReplyDelete
  9. HAWA WATU WANA HATARI, WACHUNGE SANA MAISHA YAKE, WATU WANA UCHUNGU SANA NAO.HELA YA MTU KUPOTEA HIVIHIVI SI MCHEZO!!!!!!

    ReplyDelete
  10. huyo jamaa ni mchungaji? duh noma yaani mchungaji analaani ponzi scheme halafu anaitetea.

    ReplyDelete
  11. hapa ndipo speaker sitta anasema..haki za binadamu inabidi kungaliwa uoya...kwani enzi za Mwalimu hawa ilibidi wapelekwe selo keko kusubiri kunyongwa

    ReplyDelete
  12. KAMA NI YA MUNGU DECI ITAISHI.WANACHAMA ZIDISHENI KUOMBA

    ReplyDelete
  13. Maandiko matakatifu yako wazi kwamba huwezi kumtumikia mungu na mali.Hawa wanaacha kuhubiri neno la mungu wanaanza kupepelea mali-nina mashaka.wabongo tunapenda mtelemko-tufanye kazi!Ukiona mtu anaulizwa mmesajiliwa?anajibu ooh mi nanufaika ooh nasomesha kwa deci-ujue ni longolongo tu.
    Hawa jamaa wanaonekana wachungaji feki.SIJUI.....

    ReplyDelete
  14. Arrest them immediately. Watanzania vipi, wanangoja nini kuwakamata hawa watu kama PM kasema ni wahalifu na mchezo wao ulikuwa illegal...???

    ReplyDelete
  15. WABONGO KUENI MACHO NA WACHUNGAJI NI VERY HATARI HAO WANATUMIA MUNGU SANAA HALAFU...... SÄ°MNAMKUMBUKA YULE WAUGANDA ALIYECHOMA MOTO WAFUASI WAKE,TUFANYE KAZI HAKUNAPESA RAHISI

    ReplyDelete
  16. Wabongo tuamke, hatuwezi kuendelea kudanganywa na hawa wachungaji ambao hawajaenda hata shule. nimewasiliza sana lakini hawajawahi hata siku moja kuitetea hiyo DECI yao kwa maelezo yanayoonyesha ni wataalam wa uchumi. hawa ni matapeli kama wanavyotapeli kwa kuomba miujiza ya uponyaji makanisani kwao. wameona hawapati waumini wa kutosha kwa njia ya miujiza sasa wameingia kwa gia nyingine ya kuwalaghai kwa upatu ambao mwisho wake ni kilio na kusaga meno. inasikitisha zaidi kwamba idadi kubwa ya walioingia mkenge ni wanawake!

    ReplyDelete
  17. yule wa Uganda,yes mchungaji Kibetwere!!,ila huyo pastor mwenye koti jeusi anagalia yake ya kijotijoti

    ReplyDelete
  18. JAMANI MCHUNGAJI GANI NDEVU ZAKE AMEWEKA STAILI YA O KM DUDE???. halafu huyo kweli sio Dude wa Bongo Dar es salaam??? ni wa 3 kutoka kulia.

    weze watupu woteeeeeee.

    ReplyDelete
  19. nyie hamna dini???

    wanasiasa asa CCM msitupoteze boya apa kukomalia DECI weee,ilhali ayfuatayo badoooo kabisa wala hatujui end-result:
    1.RICHMOND
    2.EPA
    3.TWIN TOWERZ BoT
    4.IPTL
    5.MIGODI NA LOYALTY 3%
    6.VITALU VYA WIZARA YA UTALII
    7.LEASE 99 YEARS (WAGENI)
    8.DUAL CITIZENSHIP
    9.ARDHI KWA EA
    10.KESI ZA WALIOBAMBIKWA MAGEREZANI(-----)
    11.SHILLING KUPOLOMOKA
    12.VITA YA WATU WA MARA
    13.KIWIRA
    14.RADA,PRIVATE JET PRESIDAA
    15.ZENJI MUUNGANO
    16.ALBINOZ
    17. nk nk

    angalieni kwanza aya ayo ya upatu na wanainchi watajicheck wenyewe,kwani nyie ndo mtalipa izo billions zilizopotelea DECI?
    ACHA WATU WALE KWA UREFU WA KAMBA ZAO,NYIE SII MNATUFISADI???

    nawakilisha

    waziri mkuu sema pia wahalifu woote wa ufisadi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...