Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Kaimu Kamishna Jenerali wa UHAMIAJI Victoria Lembeli mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya CCP Moshi.Viongozi hao walikuwa wakihudhuria Sherehe za Kufunga mafunzo ya awali kwa askari wa Jeshi la Polisi na UHAMIAJI 
Mkuu wa Mkoa na  Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Mecky Sadick akifurahia  wakati  Kaimu Kamishna Jenerali wa UHAMIAJI Victoria Lembeli alipokuwa akisalimiana na Naibu IGP katika Viwanja vya CCP Moshi.Picha na Leslie James Mbota UHAMIAJI Makao Makuu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...