Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.

HATIMAYE  ratiba ya kombe la Shirikisho imepangwa leo kwa mabingwa wa ligi kuu Tanzania Bara Yanga kupangwa kundi A akiungana  na timu za TP Mazembe, Mo Bejala na Mameada.

Michezo hiyo inatarajiwa kuanza kupigwa Juni 17 kwa mechi za nyumbani na ugenini ambapo washindi wawili  wa kila kundi wataingia nusu fainali.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...