Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt. Shaaban Mwinjaka,akiteta jambo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Miundombinu Rwanda, Rwakunda Christian,wakati walipotembelea ujenzi wa reli mpya ya kisasa, iliyoanza kujengwa Mkoani Pwani, katika eneo la Soga.
Muonekano wa ujenzi wa reli mpya wa kisasa Standard Gauge, ambayo inaendelea kujengwa katika eneo la soga mkoani Pwani.
Muonekano wa ujenzi wa reli mpya wa kisasa Standard Gauge, ambayo inaendelea kujengwa katika eneo la soga mkoani Pwani.
IMG 5841 Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt. Shaaban Mwinjaka (wa tatu kutoka kulia), akiwa katika picha pamoja na Uongozi wa Taasisi inayosimamia usafirishaji katika Ukanda wa Kati pamoja na Viongozi wa Nchi zinazotumia ukanda wa Kati, wakati walipotembelea ujenzi huo hivi karibuni, katika eneo la Soga, Pwani.
Muonekano wa Vituo vya Reli hiyo Mpya ya kisasa ya standard Gauge, itakapokamilika.
(Habari Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-Uchukuzi)
Reli itakuwa inatoka wapi kwenda wapi?
ReplyDeleteInatarajiwa kusafirisha nini? (watu tu? au pamoja na mizigo?)
Na ujenzi unatarajiwa kumalizika lini?
Hii ni hatua nzuri, endeleza mradi huu ili uwe na faida kwa vizazi vya sasa na vijavyo.
ReplyDeleteWamemuona Magufuli alokuwa anaiunga mkono anakuja sasa Wizara iliyokuwa inaipiga vita standard gauge imekimbia kuanza kuitangaza! Siasa Bwana!
ReplyDelete