Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Is a joke! 200usd +30% of cif.

    ReplyDelete
  2. Kwanini wanatoza kwa kutumia dollar badala ya shilingi? Si bora kuachana na shilingi na kuanza kutumia dollar. Inashangaza sana kuona hata taasisi za Serikali zinawatoza Watanzania ushuru kwa dollar badala ya shilingi.

    ReplyDelete
  3. Alafu ukishakagua likawa halina viwango unalirudisha lilikotoka? Au utakuwa ume achieve nini? kwanini usimlipishe faini kampuni uliyo saini nayo mkataka kuhakikisha anafanya hiyo kazi kwa niaba yako? Mimi mwagizaji nina control kiasi gani kuhakikisha inspection imefanyika nikiwa hapa???

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...