Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wadau wa kilimo na taasisi za fedha wakati akizindua rasmi Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) leo Agosti 7, 2015 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua rasmi Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) leo Agosti 7, 2015 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es salaam.
Vifijo baada ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuzindua rasmi Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) leo Agosti 7, 2015 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na Waziri wa Kilimo, Mhe Stephen Wasira, Waziri wa Fedha Mhe Saada Mkuya na viongozi na watendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) leo Agosti 7, 2015 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na Waziri wa Kilimo, Mhe Stephen Wasira, Waziri wa Fedha Mhe Saada Mkuya, Katibu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, Mkurugenzi Mkuu wa TIB Bank Bw. Peter Noni na viongozi na watendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) leo Agosti 7, 2015 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es salaam.
Msanii akiburudisha kwa ngoma kutoka Zanzibar baada ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuzindua rasmi Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) leo Agosti 7, 2015 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es salaam PICHA NA IKULU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...