Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akiwahutubia wakazi wa Mtaa wa Kilimahewa Juu iliyopo uliopo Kata ya Wazo Dar es Salaam jana, alipofika kutatua mgogoro wa ardhi uliodumu muda mrefu.
 DC Makonda akizungumza na viongozi wa Manispaa ya Kinondoni na wakata ya Wazo kuhusu mgogoro huo.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. MHESHIMIWA MAKONDA, SHUKRANI KWA KUTEMBELEA WAZO, ILA NAHISI TATIZO KUBWA MAENEO HAYO NI MIUNDOMBINU HASA BARABARA NA MAJI. BARABARA KUTOKA WAZO MPAKA MADALE, MIVUMONI KWA KAWAWA ETC, INATIA AIBU. NAOMBA UIVALIE NJUGA NA TUWE NA SULUHISHO LA KUDUMU. KAMA GOBA WAMEWEZA KUWEKA LAMI KWA NINI MADALE ISHINDIKANE. NAOMBA UTUNISHE MISULI NA KAZI IFANYIKE WATANZANIE WAKAE KWA AMANI. MAJI NA YENYEWE IMEKUWA TATIZO KUBWA, JUMUIYA HAZIELEWEKI KUTWA KULA PESA ZINAZOTOKANA NA MALIPO YA MAJI. NAOMBA UFANYE MIPANGO DAWASCO IFIKE KIRAHISI. CCM IBAKI MATAWINI... NAFIKIRI NIMEELEWEKA..

    MKEREKETWA JOHN

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...