Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka jiwe la Misingi la ujenzi wa nyumba za watunmishi wa Halmashauri ya Busokeleo wilayani Tukutu unaofanywa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) katika kijiji cha Rungwa akiwa katika ziara ya mkoa wa Beya Februari 27, 2015. Wapili kushoto ni mkewe Tunu.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akigua nyumba zinazojengwa na Shirikal la Nyumba la Taifa (NHC) karika kijiji cha Rungwa kwa ajili ya watumishi wa Halmashauri ya Busokelo wilayani Rungwe akiwa katika ziara ya mkoa wa Mbeya Februari 27, 2015. Watatu kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mark Mwandosy na wapili kushoto ni Mkurugenzi wa NHC, Haikaman Mlekio.
Mke wa Waziri Mkuu, Mamam Tunu Pinda akivalishwa kitenge na bibi Hilda Mwasikili katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu,Mizengo Pinda mjini Tukuyu Februari 27, 2015. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...