Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa akizungumza na waandishi wa
habari (hawapo pichani) juu ya mapokezi ya nakala za katiba
inayopendekezwa na maendeleo ya usambazaji wake kwa wananchi Mkoani
Dodoma mapema leo.
Waandishi wa Habari wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Dodoma (hayupo
pichani) wakati akiwasilisha taarifa ya mapokezi na usabazaji kwa
wananchi wa Nakala za katiba inayopendekezwa Mkoani Dodoma mapema leo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...