Meza Kuu wakati wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa NEPAD uliofanyika leo jijini Addis Ababa. Wakuu wa Nchi pamoja na mambo mengine walisomewa taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya NEPAD kwa kipindi cha mwaka 2014. Kubwa lilihusu uanzishwaji wa Mpango wa Kilimo unaozingatia mabadiliko ya tabianchi ambao unawalenga wakulima wadogo zaidi ya milioni 25 watakaokuwa wanalima kwa kutumia teknolojia isiyokuwa na athari katika tabianchi ifikapo mwaka 2025. BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI |
Home
Unlabelled
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje amwakilisha Rais Kikwete kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa NEPAD
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...