Mpango mzima wa 'Harakati za Valentine ndani ya Villa Park Mwanza, utakao anza rasmi Alhamisi ya tarehe 12/02/2015 ambapo Mfalme Mzee Yusufu na Bendi yake ya Jahazi Mordrn Taarab kuhusika, kiingilio nishilingi 10,000/=

Kisha Jumamosi ya tarehe 14/02/2015 Valentines Day bendi ya Super Kamanyola kutambulisha safu ya waimbaji wake wapya, Kiingilio Sebuleni Tshs 5,000/= na Tshs10,000/= utazama hadi Disco ambako kutakuwa na mpambano wa Ma-Dj NANI MKALI KATI YA DJ TASS (MAGIC FM) V/s DJ EDDY (RFA)
Crew ya bendi yako Super Kamanyola yenye maskani yake Villa Park Kirumba jijini Mwanza.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Super Kamanyola fanyeni hima mtoe video ya kazi zenu maana bendi yenu ni kati ya bendi chache anzania zinazodumisha na kufurahisha wadau wa muziki wa dansi a.k.a bongo dance.

    Kutengeneza video ni kazi ndogo tafuteni mdau wa wadau wanaofanya shooting ya video bora halafu mtupie ktk YouTube, sisi wadau wa muziki wa dansi tutawapa sapoti kubwa ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.

    Mdau
    Kijana Mpenda Muziki wa dansi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...