Moshi mkubwa unasababishwa na uchomaji wa misitu hovyo ukiwa umetanda barabarani na kupelekea watumiaji wa njia hiyo kupita kwa shida kwa kutoweza kuona mbele,hali inayoweza kusababisha ajali mbaya sana.hapa ni kwenye kijiji cha jirani na mji wa Muheza,Mkoani Tanga.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kilima naniii pale barabara ya chole road..kwi kwi kwi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...