Wadau Wambura Wambura na Jacquiline Mchwampaka, ambao ni wachumba,  wakipozi baada ya kulamba nondozzz zao za Uzamili za Sayansi Katika Menejimenti ya Rasilimali Watu ( Master of Science in Human Resource Management) katika Chuo Kikuu cha Mzumbe Kampasi ya Dar es salaam. Wadau hawa wanatarajiwa kumeremeta Februari 15, 2015 kabla ya kuanza tena safari ya pamoja ya kusaka nondozzz ya PhD.
  Mdau  Jacquiline Mchampaka  baada ya kulamba nondozzz zao za Uzamili za Sayansi Katika Menejimenti ya Rasilimali Watu ( Master of Science in Human Resource Management) katika Chuo Kikuu cha Mzumbe Kampasi ya Dar es salaam. Yeye anafanya jazi ya HR katika kampuni ya Mohamed Enterprises.
a
Mdau Wambura Wambura baada ya kulamba nondozzz ya  Uzamili za Sayansi Katika Menejimenti ya Rasilimali Watu ( Master of Science in Human Resource Management) katika Chuo Kikuu cha Mzumbe Kampasi ya Dar es salaam. Wambura ni mfanyabishara maarufu wa mbao jijini Dar es salaam

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...