Kibao hiki kipo katika Mpaka wa Mkoa wa Tanga na Mkoa wa Pwani,katika kijiji cha Manga.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Jamani, barabara zinavutia sana Tanzania, lakini zinajengwa nyembamba mno kiasi cha kusababisha ajali kila kukicha. Sijui huli litapatiwa ufumbuzi lini. Magufuli!

    ReplyDelete
  2. Msosi MwingiDecember 17, 2014

    Kibao cha kuondoka kipo...waje leo waondoka leo hiyo..chezea wanawake wakitanga. Maji ya kuoga yawekwa iliki halafu kwenye beseni mtu mzima unaambiwa ingia kwenye beseni kuoga.

    ReplyDelete
  3. Inazungumziwa ukitoka Jiji la Tanga na sio Mkoa wa Tanga.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...