TAREHE 22 NOVEMBER 2014 UMOJA WA WANAFUNZI WA KITANZANIA WANAOSOMA JIJINI WUHAN CHINA (WUHAN TANZANIAN STUDENTS ASSOCIATION) ULIWAONGOZA WATANZANIA WANAOISHI JIJINI HUMO,KATIKA KUITANGAZA NCHI YA TANZANIA KATIKA MAONESHO HAYO YA KITAMADUNI YALIYOANDALIWA NA CHUO KIKUU CHA WUHAN(WUHANI UNIVERSITY) NA KUSHIRIKISHA MATAIFA MBALIMBALI YA AFRIKA,ULAYA ,AMERIKA YA KUSINI,AMERIKA YA KASKAZINI NA ASIA.
AMBAPO WUTASA ILITUMIA FURSA HIYO KUITANGAZA TANZANIA IKIWEMO MBUGA ZA WANYAMA,VYAKULA VYA KITANZANIA,MUZIKI NA MAVAZI PIA.
  MWANA MAMA WA KICHINA NA MWANAYE WAKIWA WANASUBIRI MUDA WA KUPATA HUDUMA UANZE.
 KATBU MKUU WA WUTASA(KULIA) NDUGU HASSAN MKOKO NA NDUGU NOEL ERNEST WAKIWA WANATOA HUDUMA KWA WAGENI WALIOTEMBELEA BANDA LA TANZANIA 
 WAGENI WAKIPATA HUDUMA KATIKA BANDA LA TA NZANIA
 SEHEMU YA MAELFU YA WATU WALIOKUWEPO KWENYE MAONESHO
 WAGENI WAKIENDELEA KUPATA HUDUMA KWENYE BANDA LA TANZANIA 
 HATA VYAKULA VYA KITANZANIA NAVYO VILIKUWEPO. HAPA WAGENI WAKIJIPATIA MLO WAO WA MCHANA WA KITANZANIA
 MHASIBU WA WUTASA ELVIS MULOKOZI AKIWA ANATOA HUDUMA KWA WAGENI,HUKU MWANADADA MARY NAFTALI AKIWA UPANDE WA KUGAWA MSOSI(CHAKULA CHA KITANZANIA 
BAADHI YA WANAFUNZI WA KITANZANIA KWENYE MAONESHO HAYO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Big up sana vijana! Mnatuwakilisha vizuri na sisi huku nyumbani tutajitahidi tuwafichue wanaoidharirisha nchi yetu kwa kuiba pesa za wananchi.
    Endeleeni kuitangaza nchi Sakata la IPTL NA ESC.. tutalimaliza Octoba mwaka kesho. Waambieni wachina waje tu kuona vivutio

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...