Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Wimbo mzuri sana ila hii ni kwa wasanii wote,mnapokuwa mnatamka maneno ya kiingereza tamkeni vizuri yasikike ili wenye lugha yao waelewe mnazungumza nini, sio kwa mazoea wala kuiga lafudhi za watu, hii ni kiroho safi tu wala si kijuvi. Mwanzoni kati kweli alianza kuchanganya lugha nikasema hiki ni kiganda ama kiwapi ndio nikagundu ni kidhungu.Napenda tufike mbali sana mimi nampenda sana Jide na nimesema kwa mapenzi niliyonayo na muziki wa kwetu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...