Bondia Imani Daud kushoto akipambana na Hamaduu Mwalimu wakati wa mchezo wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita tandika Dar es salaam Daud alishinda kwa pointi katika mpambano huo wa raundi sita.
Bondia Hamaduu Mwalimu akimrushia konde Imani Daud wakati wa mchezo wao uliofanyika Tandika Dar es salaa Daud alishinda kwa pointi
Bondia Nobel Syrvesta kushoto akipambana na Bakari Dunda wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Nobel alishinda kwa point picha na www.superdboxingcoach. blogspot.com
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...