Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. kazi tunayo ...

    ReplyDelete
  2. Ubunifu huo, lakini sehemu hiyo haitoshi kwa huyo kuku na vifaranga vyake. Ataka nafasi ya kuingia vichakani na kula majani na vidudu, pia nauna unawanyima mwewe na kipanga riziki

    ReplyDelete
  3. Hongera mfungaji mwenzangu bla shaka furaha ya mfugaji ni kupata matunda ya jasho lake

    ReplyDelete
  4. Hakuna lolote mfugaji anakimbia kunguru tu vifaranga vyake vikikua kiasi cha kua si tishio tena ana waacha huru.....mie pia hufanya hivi vinginevyo kunguru weusi wanaramba vyote.............

    ReplyDelete
  5. Ona sasa huu ndio ujinga na umbumbafu mkubwa na upotezaji na utumiaji wa vitu bile kufikiria. Wewe mfungaji unatapa chandarua kwa ajili ya kujilinda na umbu halafu unatimia kwa kuku. je ni maendleo au ndio nini ? serekali au watu wanatoa misaada kutusaidia halafu baadaya ya kutumia kwa matumizi yake ila tunakwenda kufanya tofauti. hapo utamlalamikia nani sio serekali bali ni sisi wenyewe. maendeleo yanaletwa na sisi wenyewe kwa kufikia na kutumia zana na vitu kwa ajili ya kazi zake zinazotakiwa kutumia ili kurahisisha mambo na pia muhimu kwetu.

    ReplyDelete
  6. Ww unahakika kama Hicho chandarua kapewa na serekali, mtu unakingwa usiliwe na mbu lkn njaa inakuuma, hii kweli!!!?

    ReplyDelete
  7. Malaria haikubaliki!

    ReplyDelete
  8. At least hao vifaranga hawaumwi na mbu

    ReplyDelete
  9. mimi naona FURSA tu hapa ya kubuni vyandarua spesheli kwa ajili ya matumizi haya.

    ReplyDelete
  10. ubunifu mzuri kulinda vifaranga visiliwe na kunguru mie huwa nawafunika kwenye tenga

    ReplyDelete
  11. Usikute muhusika wa Kuku na vifaranga wake, yeye yupo radhi kushambuliwa na Mbu na kujiuguza Malaria, ama kweli hawakukosea wahenga..kosa mali, upate akili. Na waishio kando kando ya mito, maziwa na bahari, wao ndo huzifanya nyavu za kuvulia, kwa mtindo hii ipo shughuli tena pevu!

    ReplyDelete
  12. kama ukiangalia vizuri utaona amepunguza circumference kwasababu upande wa chini umechakaa, hivyo musidhani kuwa yeye anaamua kuumwa na mbu aokoe vifaranga. am sure kunguru wamempatisha taabu sna na kuku wake mpaka akaamua kuingia extra cost ya kuwafanya zero grazing ili atleast wakue. bigup mdau. soon watakuwa wengi.......

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...