Washereheshaji wakifanya vitu vyao kwenye usiku wa onesho la mavazi kutoka kwa wanamitindo na wabunifu mbalimbali kutoka nchi kusini mwa Afrika wakiwemo wabunifu wawili Watanzania waliopendezesha maonesho hayo.
 
Juu na chini ni bendera kutoka nchini za kusini mwa Afrika zikipita kwenye ufunguzi wa maonesho hayo yaliyofanyika siku ya Ijumaa Aug 29, 2014 Silver Spring, Maryland nchini Marekani.
kwa picha zaidi bofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mbona bendera yetu imeshikwa juu chini? Angalieni jirani zetu Wakenya wameishika bendera yao vizuri. Upande wa kutundikia unaanzia kushoto kwenda kulia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...