alozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, Mhe. Omar Mjenga, aungana na Mabalozi Wadogo wenzie wanaoziwakilisha nchi zao Dubai kwenda kukutana na kutoa salaam za Eid kwa Wafalme wa Dubai, Sharjah, Ajman, Fujairah, Umm Ul Quwain na Ras Al Kheimah.
 Wafalme wa Dubai, Sharjah, Ajman, Fujairah, Umm Ul Quwain na Ras Al Kheimah (walioketi)
 Wafalme wa Dubai, Sharjah, Ajman, Fujairah, Umm Ul Quwain na Ras Al Kheimah wakifungua kinywa na mabalozi wadogo
 Sehemu ya mabalozi wadogo wakiwa kwenye hafla hiyo
Mhe. Omar Mjenga akiwa na Mhe. Jose De Francio Balozi Mdogo wa Msumbiji, Dubai.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 30, 2014

    Huyu Balozi mdogo anafaa sana kuwa afisa habari.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 30, 2014

    Hapo balozi selfie poa sana. Pia hii shughuli inaonekana nzito sana maana wafalme wote wa UAE wako. Lakini mambo ya waarabu na huo mkao wa kijitenga wao kuleee sisi hukuuu hauleti mandhari nzuri.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 31, 2014

    Huyu balozi anastahili pongezi sana, anaonekana ana mipango mizuri ya kuunganisha mambo ya uwekezaji Tanzania na nchi hii ya wenzetu walioendelea tangu zamani. Hongera bwana balozi mdogo Dubai.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...