Home
Unlabelled
JUST IN: TAARIFA YA KUSITISHWA KWA AJIRA ZA KONSTEBO NA KOPLO WA UHAMIAJI ILIYOTOLEWA JANA NA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI HAIHUSIANI NA AJIRA 70 ZILIZOTOLEWA KWA NAFASI YA MKAGUZI MSAIDIZI WA UHAMIAJI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Uchunguzi ufanywe haraka kwa hao 200 ili watakaokutwa hawakupendelewa waweze kuanza kazi haraka iwezekanavyo.
ReplyDeleteAjira zetu za siku hizi ni mashaka matupu, kujuwana kwa kwenda mbele. Si aghlab ukichunguza utakuta ni hao kwa hao au wenyewe kwa wenyewe tu, baba ataleta mwana, Babu ataleta mjukuu, Mume ataleta mke, mke ataleta jirani n.k. Almuradi hakuna uhalali wowote, only depends on WHOM you know and not HOW capable you are, period!
ReplyDeleteNaishukuru na kuipongeza serikali kwa kuubaini udhaifu huu. Hata hivyo nina maoni tofauti kidogo. Kwa kuwa waliochaguliwa wana sifa, ni watanzania wenzetu na wanatafuta ajira, ingefaa waachwe tu waendelee na kazi. Isipokuwa mambo yafuatayo yafanyike: 1. Serikali iwawajibishe kwa kuwashusha vyeo waliohusika na interview hiyo; 2. Waliowajibishwa na waliopata post hizo kiundugu wakatwe kwenye mishara yao ili wale woooote waliohudhuria interview walipwe gharama zao na kifuta jasho kidogo kwa kufanyishwa interview ya uongo; 3. Serikali itoe onyo kwa mtu yeyote ama taasisi yoyote itakayorudia kosa kama hilo. Sheria zitungwe (kama hazipo)na kama zipo zichukuliwe kwa mtu/taasis yoyote itakayorudia kitendo kama hicho.
ReplyDelete