Home
Unlabelled
Bongo Tambarare: mkeka wa tegeta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Tunajitahidi lkn inabidi hii miradi ya miundo mbinu iwe ina project feture demand.Hizi barabara za two way one way haziwezi kuondoa tatizo la trafic kwa wakati huu vipi miaka 5 ijayo? au ndio itabidi kuwabomolea Wananchi vianda vyao ili kuongeza idadi ya lane.
ReplyDeleteUncle utashikwa sikio, usimtukane mamba kabla hujavuka mto!
ReplyDeleteKwa kweli hii barabara inatia moyo, kwamba maendeleo yapo,
ReplyDeleteMdau wa kwanza hapo, hivi hawa mainjinia wote wanaomaliza vyuo vikuu hawawezi kutengeneza treni za chini kwa chini kama nchi zilizoendelea, au train na tram za juu badala ya kufikiria barabara kupanuliwa halafu kuvuka inakuwa shida. Hivi kuna Chuo Kikuu chochote hapa nchini kimeshachora michoro ya vitu kama hivi kwa ajili ya sulluhisho la misongamano la jiji letu??
ReplyDeleteBarabara ni nzuri sana. Kasoro tuu umaridadi wa mazingira ndio unatia aibu...
ReplyDeleteBarabara pia haina taa... ukipita usiku huwezi ona mandari nzuri. jiji (wazee wa jiji meya wa manispaa ya kinondoni) kwa hili unastahili yellow card
Jamani tusijipe moyo kwa barabara zilizotakiwa kujengwa miaka 20 iliyopita.
ReplyDeleteHii barabara ni ndogo kuliko Morogoro road pale jangwani iliyojengwa tukiwa na gari za kuhesabu.
ha ha ha michuzi subiri siku ya kazi utuletee picha nyingine hasa asubuhi na jioni
ReplyDeletehongera sana kwa barabaraba nzuri, any step towards positive direction ni hatua nzuri
kuna mdau hapo juu kaulizia kuhusu plans za wahitimu wa chuo kikuu ... kwa taarifa yako Tanzania mipango ipo mingi sana shida huwa ni utekelezaji ambao huchangiwa sana na nia ya dhati pamoja na gharama zinazohitajika
Hongera sana kaka kwa kutuletea picha hii, pia nakubaliana na wachangiaji wote hapo juu kwamba viongozi wetu waliopo madarakani wanakitu cha kufanya. Mfano ya barabara hii ya Bagamoyo Rd, naomba TANROADS waingalie upya hasa kwenye madaraja; hilo la hapo Kawe na lile la Tegeta, mbona kama yametokeza KIDOGO barabarani!!! Mimi ni muendeshaji mzuri sana wa barabara nyingi tu na ninawapa CREDIT wajapani waliotujengea lakini kwenye huu upande madaraja nina wasiwasi na kutokeza kwake halafu hakuna REFLECTORS!!! TANROARDS shughulikieni haraka maana hayo ni mabomu yatakayokuja kulipuka!!!
ReplyDelete