Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Bila ya Msimamo huu makini wa Raisi wetu Mhe. Jakaya Kikwete nadhani Tanzania KWA KUKURUPUKIA MAAMUZI MAGUMU YA KUINGIZWA MKENGE INGEKWISHA FILISIKA DHIDI YA WIZI NA HUJUMA ZA NDUGU ZETU KENYA, UGANDA NA RWANDA!

    Jakaya Kikwete ni Kiongozi bora kiukweli kama tunavyoona Tuzo ya Uongozi Bora Afrika amepokea last week akiwakilishwa na Mhe. Membe Marekani.

    Mimi nilishaliona hilo miezi mingi huko nyuma nikimwita JK kwa jina la 'BALOZI DAKITARI' ni kwa mambo kama hayo waliyoona huko Washington-DC Marekani na kumpatia Tuzo hivyo wiki iliyopita.

    Katika Maksi za Ufaulu wa Masomo nilipmatia JK Somo la Utawala bora akipata Maksi 197% (HIYO HAIKUWA TAIPING ERROR BALI NI MAKSI MIA MOJA TISINI NA SABA KWA MIA MOJA!!!), kama mnavyoona anavyo jieleza hapo kwenye mahojiano.

    Ndio maana nimekuwa namwita Raisi JK kwa jina la BALOZI DAKITARI !, na sasa nita mwongezea jina kwa kumwita BALOZI DAKITARI MSHINDI TUZO WA UONGOZI BORA AFRIKA!, kama mtachukia ama kukasirika shauri zenu.

    ReplyDelete
  2. RAISI JK PIGA NYUNDO YA CHUMA AFRIKA YA MASHARIKI!

    Msimamo ndio huu, hawa jamaa 'CoW' nchi za Kenya, Uganda na Rwanda kuharakisha maazimio ya EAC lengo lao sio zuri kwetu Tanzania!

    ReplyDelete
  3. Tatizo kubwa ktk maisha yetu, daima ukiwa na mshirika anaye kudharau kunakuwa na mtazamo kwamba kila kitu hujui!

    Hawa jamaa Kenya,Uganda na Rwanda wana tuchukulia sisi Tanzania kama matutusa kumebe akili ni nywele kila mmoja ana za kwake!

    MARA ZOTE UKIONA MTU ANA KUHARAKISHA KATIKA MAMBO, ANAKUSHINIKIZA MAMBO ANAKUPANGIA MAMBO ANAKULAZIMISHA MAMBO UJUE SIO BURE PANA KITU!,,,SIO KINGINE BALI ANATAKA KUKUINGIZA MKENGE!

    Umoja wa Ulaya hawakuwa na haraka kufikia walipo, na hivyo Kenya, Uganda na Rwanda wasitu pelekeshe ktk kuyafikia maazimio ya Afrika ya Mashariki.

    TUNATAKA MSIMAMO HUU HUU WA RAISI KIKWETE UDUMU HATA BAADA YA YEYE KUTUAGA AKIONDOKA IKULU MAGOGONI!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...