mpiga bezi wa twanga pepeta jojo jumanne hana hamu baada ya binti wa mbaraka mwinshehe mwaruka, Muhtaji, kuvamia jukwaa la twanga pepeta usiku huu ukumbi wa mango garden jijini dar na kumpokea gitaa na kuliungurumisha vilivyo kuonesha jinsi alivyo mahiri wa kazi hiyo
muhtaji mbaraka mwinshehe akienda sambamba na midundo ya twanga pepeta bila wasiwasi wala mikwaruzo. umati ulilipuka kwa umahiri wake wa kupiga gitaa la bezi


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Si mtoto wa nyoka, naye atakuwa nyoka. Mifano mingi, ni kijana wa mchezaji soka gwiji wa Ghana, Abeid Pele. Anakijana wake mahili sana na anakipiga pale pale Marseille alipokuwa baba. Wapo wengi, tu wa kutolea mifano. Natamani ingekuwa video ningesikia midundo hiyo!!

    Ankol, tafadhali kama kuna uwezekano wa kupata video za huyo dada tunaomba tuipate nasi tuburuduke. Big-up sana!

    ReplyDelete
  2. mtoto wa simba ni simba tu,tena akitoa meno usifikiri heti anakuchekea...ukimsogerea atakutafuna

    ReplyDelete
  3. ukipanda matembele utavuna matembele............anateleza...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...