gwiji la muziki zahir ally zorro akimtambulisha zahir jnr ambaye naye ni moto wa kuotea mbali kama walivyo wakubwa zake banana na maunda. zahir baba kaiambia globu ya jamii kwamba wadau wakae mkao wa kula kwani dogo hivi sasa anapikwa hadi apikike kabla ya kuibuka kivyake

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. BABA NA MWANA WATOLEWE WALIONJA YA WAKUBWA WANASOTESHWA GEREZANI , WATI WENGINE WANAFIKIRI MUNGU AMEFARIKI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...